leo nimeamka na hii documentary ya dada wa ki Afghanstan, ni ya kweli. nikaona tu shee (lol) hii documentary
kwa mbele!
kwa nyuma
asubuhi ya leo nimeamka na movie hii ya ENEMIES OF HAPPINESS, ambayo nilipewa na Kabez wa hapa mjengoni 88.4 Clouds Fm. nami nawapeni ninyi WAANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI. itazameni. ki ukweli inawahusu, nawatakia jumatatu njema.
No comments:
Post a Comment