Mwanaume mmoja wa nchini India amejiua kwa kujichoma moto ili kukwepa fedheha ya kupigwa na mkewe na ndugu zake mbele ya majirani zake. | ||
Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa kitongoji cha Ville Parle jijini Mumbai alichukua uamuzi wa kujichoma moto baada ya kushushiwa kipigo na mkewe aliyeshirikiana na ndugu zake. Mwanaume huyo na mkewe walijaaliwa kuwa na watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume, ndoa yao iliyodumu miaka 10 ilivunjika miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na magazeti ya India, mwanaume huyo alikuwa akienda mara kwa mara kwa mkewe kuwaona watoto wake ambao walikuwa wakimpenda sana baba yao. Siku ya tukio hilo, mwanaume huyo aliitwa na mkewe aende kuwaona watoto wake nyumbani kwake lakini alipofika aliambulia matusi na kushushiwa kipigo na mkewe aliyeshirikiana na ndugu zake. Kipigo hicho alishushiwa mbele ya majirani ambao waliliangalia tukio hilo kwa mshangao mkubwa. Taarifa zaidi zinasema kuwa mwanaume huyo hakuweza kuvumilia kipigo hicho alichoshushiwa, alienda kwenye gari lake na kunyonya mafuta ya petroli na kuyaweka kwenye chupa ya maji ya lita mbili na kujimwagia mafuta hayo mbele ya mkewe na kujichoma moto. Majirani waliwahi kujaribu kuuzima moto huo ili kuokoa maisha yake. Walimwahisha hospitali ambako alifariki baada ya siku mbili kutokana na majeraha makubwa ya kuungua na moto aliyoyapata. Polisi nchini India wamekihesabu kifo cha mwanaume kuwa amejiua mwenyewe na mwili wake ulikabidhiwa kwa familia yake kwaajili ya mazishi. | ||
Nifahamishe.com |

Mume Ajichoma Moto Baada ya Kupigwa na Mkewe | ||
Tuesday, May 01, 2012 4:43 PMMwanaume mmoja wa nchini India amejiua kwa kujichoma moto ili kukwepa fedheha ya kupigwa na mkewe na ndugu zake mbele ya majirani zake. | ||

Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa kitongoji cha Ville Parle jijini Mumbai alichukua uamuzi wa kujichoma moto baada ya kushushiwa kipigo na mkewe aliyeshirikiana na ndugu zake. Mwanaume huyo na mkewe walijaaliwa kuwa na watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume, ndoa yao iliyodumu miaka 10 ilivunjika miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na magazeti ya India, mwanaume huyo alikuwa akienda mara kwa mara kwa mkewe kuwaona watoto wake ambao walikuwa wakimpenda sana baba yao. Siku ya tukio hilo, mwanaume huyo aliitwa na mkewe aende kuwaona watoto wake nyumbani kwake lakini alipofika aliambulia matusi na kushushiwa kipigo na mkewe aliyeshirikiana na ndugu zake. Kipigo hicho alishushiwa mbele ya majirani ambao waliliangalia tukio hilo kwa mshangao mkubwa. Taarifa zaidi zinasema kuwa mwanaume huyo hakuweza kuvumilia kipigo hicho alichoshushiwa, alienda kwenye gari lake na kunyonya mafuta ya petroli na kuyaweka kwenye chupa ya maji ya lita mbili na kujimwagia mafuta hayo mbele ya mkewe na kujichoma moto. Majirani waliwahi kujaribu kuuzima moto huo ili kuokoa maisha yake. Walimwahisha hospitali ambako alifariki baada ya siku mbili kutokana na majeraha makubwa ya kuungua na moto aliyoyapata. Polisi nchini India wamekihesabu kifo cha mwanaume kuwa amejiua mwenyewe na mwili wake ulikabidhiwa kwa familia yake kwaajili ya mazishi |
No comments:
Post a Comment