Mbunge wa jimbo la Ubungo CHADEMA Mh. John Mnyika akiwa amebebewa na wanachama wa chama hicho mara baada ya mahakama Kuu ya Tanzania kumtangaza mshindi katika kesi ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Ubungo iliyofunguliwa na mpinzani wake Hawa Ng'humbi wa chama cha CCM.
John Mnyika akionyesha ishara ya ushindi akiwa na wapambe wake pepembeni wakielekea Ubungo kwa ajili ya mkutano wa hadhara
John Mnyika akiutubia wafuasi wa chama chake katika jimbo lake la Ubungo mara baada ya kuwasili
Jeshi la polisi likihakikisha ulinzi unaimarika katika mahakama hiyo leo.
No comments:
Post a Comment