Jana ilikua ni siku ya wafanya kazi Duniani, ambapo wafanyakazi duniani kote waliungana kuadhimisha siku hiyo maarufu kama MEI MOSI,jijini Nairobi nchini Kenya katika chumba cha habari KBC kulikua na malalamiko yaliyotolewa na wafanyakazi mjini humo, kuhusu sera ya kazi ya nchi hiyo kuonekana kuwanyonya sana wafanyakazi ambao asilimia kubwa ni masikini, na wanaishi kwa kutegemea mishahara yao kuendesha maisha.
kwa kuonesha kuchoshwa na hali hiyo, baadhi ya wafanyakazi nchini Kenya wamefikia hatua hata ya kutaka siku hiyo ifutwe kabisa nchini humo, kwa kuwa haina maslahi kwao.
No comments:
Post a Comment