MAN U HOI KWA CITY
Manchester United
imepokea kipigo cha bao 3-0 kwa Manchester City katika mechi ya Ligi Kuu
England iliyopigwa Old Trafford, wafungaji Yaya, Dzeko (2)!
Manchester
City wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Edin Dzeko dakika
ya kwanza. - See more at:
http://www.nyotanjematz.com/2014/03/man-u-wageuzwa-mdebwedo-na-man-city_25.html#sthash.QzAhWJ3X.dpuf
Manchester City
wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Edin Dzeko dakika ya kwanza. -
Yaya Toure akiifungia
City bao la tatu kwa shuti kali
Kocha wa Manchester
United, David Moyes akitoa maelekezo kwa vijana wake.
Wachezaji wa Man Utd
hoi baada ya kipigo.
Kocha wa zamani wa
Manchester United, Sir Alex Ferguson
naye alikuwepo wakati timu yake ya zamani ikipokea kichapo.
Manchester United
imepokea kipigo cha bao 3-0 kutoka kwa Manchester City katika mechi ya Ligi Kuu
England iliyopigwa Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester hivi punde.
Wafungaji katika mechi
ya leo ni Edin Dzeko aliyefunga mabao mawili dakika ya 1 na 56 la tatu
likifungwa na Yaya Toure dakika ya 90.
Kwa matokeo ya leo,
Manchester City wamepanda mpaka nafasi ya pili wakati Manchester United wakiwa
nafasi yao ya saba katika msimamo wa ligi hiyo.
Manchester
City wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Edin Dzeko dakika
ya kwanza. - See more at:
http://www.nyotanjematz.com/2014/03/man-u-wageuzwa-mdebwedo-na-man-city_25.html#sthash.QzAhWJ3X.dpuf
No comments:
Post a Comment