Monday, March 3, 2014

DAR LEO



KUNA MIUNGURUMO JUU,PICHA YA KWANZA ANGA LILIKUA ORANGE,  WAKATI NATAHAMAKI NKACHUKUE KAMERA AH WAPI ANGA LIKA TANZUKA! SASA UPINDE NIKAUKAMATA WOW, NI MUDA MREFU SANA SIJAONA HUU UPINDE, ASANTE BABA WA REHEMU KWA UUMBAJI WAKO!

No comments:

Post a Comment