REAL MADRID 3-4
BARCELONA, MESSI AONESHA UBABE...APIGA HAT-TRICK
Mechi hiyo kali ya La Liga imechezwa katika Uwanja wa
Santiago Bernabéu, Madrid nchini Hispania.
MSHAMBULIAJI mahiri wa
Barcelona, Lionel Messi, amepeleka vilio kwa mashabiki na wapenzi wa
Real Madrid baada ya kufunga 'hat-trick' wakati timu yake ikishinda bao 4-3
dhidi ya mahasimu wao Real Madrid.