Na hii ni baada
ya kila anapotokea kwenye jamii, watu humuuliza anapaka nini kwenye ngozi yake
mbona ana mvuto? Akaona isiwe taabu akatupia nini kinacho mfanya awake wake.
Ki ukweli usiwe
mchoyo kushare na wenzio kinachokufanya uwe na mvuto! Na akaamua kutupia picha
hizo katika ukurasa wake wa twitter, kwa kifupi Kim anaonekana kama na kitu cha
manjano ambayo sisi bongo tunayo ama unga wa dengu hivi. angalia
Picha ya juu ni baada ya kutoa kile
alichokipaka hakuna maajabu hata wewe waweza ng’arisha ngozi yako kwa vitu vya
asili
Katika ukurasa wake wa twitter
akatupia kichwa cha habari hiki She bila kuongeza ama kupunguza neno
'Glamming up with @1maryphillips!!! Matokeo mazuri ya kile anachojipaka
yamemchanganya Kim mwenyewe ila anajua kitamtengeneza
Kim hakusita kumuweka
hadharani Mtu ambaye amempa mchanganyo huo na kwamba ni mtaalamu wa masuala la
make up au make up artist anaitwa Mary Phillips, na amesababisha masuper star
kama Jessica Simpson, Jennifer Lopez na Salma Hayek na kueleza kua
ni miongoni mwa wateja wao
Kim pia baadae
alionesha picha ya matokeo ya alichokipaka na kuandika mngao kiasi na hii ndio
picha yenyewe .
Mpira ukiwa umedhitiwa: Kim baada ya
kung’arisha ngozi yake na kujipodoa alishiriki katika Jeep na sherehe
za USA Basketball .
Nguo ina rangi ijulikanayo kama Mellow
yellow: Kim akionesha umbo lake katika nguo inayoonesha vilivyo umbo lenye
mvuto na viatu vyenye kumkamata
Umbo la kifua lenye mvuto la Kim
Kim mwenyewe anaeleza
kua make up inafurahisha lakini pia ni moja ya mapambo ya mwanamke ingawa
mara kadhaa ameshatoka na kupigwa picha akiwa hajapaka make up na anasema
kitendo cha kutopaka make up na kusimama mbele za watu kina mpa nguvu na haona
aibu kuwaonesha watu jinsi alivyo na ana furahia jinsi alivyo
Hata kama ni burudani
kupaka make up kitu kikubwa cha msingi ni kuikubali ngozi yako ukiwa na make up
ama ukiwa hujapaka make up!
Mpo? Neno hilo,
wale ambao huwezi toka bila make up kubalini ngozi zenuuu!!!!!!
CIOA
No comments:
Post a Comment