Elizabeth Mwase Programu Manager wa Mtandao wa
Watoto na Vijana kutoka Imani Mbalimbali (GNRC) akimpokea Mzee Ali
Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa awamu ya pili ambaye alikuwa mgeni rasmi
ya Siku ya Kimataifa ya Amani iliyoadhimishwa mwishoni mwa Juma jijini
Dar es Salaam ukumbi wa Don Bosco.
Tuesday, September 24, 2013
Monday, September 23, 2013
JALI WENGINE KWENYE UHITAJI
KIASI CHA UNIT(PINTS) 2,000 KIMESHA CHANGWA MPAKA SASA ILI KUWEZA KUWASAIDIA MAJERUHI WA KINACHOENDELEA WESTGATE MALL, MAELFU YA WAKENYA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA NCHI WAMEKWISHA CHANGIA DAMU KATIKA UWANJA WA UHURU.
PONGEZI KUBWA WAANDISHI WENZANGU NCHINI KENYA
MPAKA MUDA HUU, BADO MVUA YA RISASI INASIKIKA WESTGATE MALL,ALUTA CONTINUA, KILA LAKHERI NA MUNGU AWALINDE WAANDISHI WENZANGU KAZINI, NA PIA WANA USALAMA WANAOPAMBANA KATIKA MJENGO HUO.
TANZANIA YAZINDUA RASMI SIKU YA TEMBO KITAIFA
div class="separator" style="clear: both; text-align: center;"> 
Mkurugenzi wa wanyamapori Wizara ya maliasili na utalii Prof. Alexander Songorwa akisoma Hotuba kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na utalii.
Tone Multimedia Company Limited Plot No.223/225 Block 46, Umoja Street Kijitonyama P.O Box 32529 Dar es salaam Tanzania Tel +255 22 2772919 Fax +255 22 2772892 Mob +255 713604432 E-Mail info@toneradiotz.com blogzamikoa@live.com Web: www.toneradiotz.com www.blogszamikoa.blogspot.com www.stayintanzania.blogspot.com
Gari la Maliasili likiwa limebeba Meno ya Tembo, wakati wa kujiandaa na Maandamano kuelekea Mlimani city kwa ajili ya maadhimisho hayo
Msanii wa Muziki wa Kitanzania Mrisho Mpoto akianza kuongoza maandamano kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Kuelekea Ukumbi wa Mlimani City leo.
Maandamano ya Siku ya Tembo yakiwa yanaendelea kuelekea ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Kongamano hilo
Wasanii wa Mrisho Mpoto wakiwa wamebeba chatu katika maadhimisho ya Siku ya Tembo Kitaifa leo
Wadau mbalimbali wa utalii na kupinga mauaji dhidi ya Tembo wakiwa wanafuatilia kwa umakini maadhimisho ya Siku ya Tembo kitaifa.
Mrisho Mpoto akiwa anatumbuiza katika Maadhimisho hayo ya siku ya Tembo
Mmoja ya waratibu wa Shuguli za Siku ya Tembo kitaifa Issa Isihaka kushoto akifuatilia kwa umakini siku ya Tembo kitaifa
Picha ya Pamoja ya Viongozi Mbalimbali wa Serikali na wadau
POLENI SANA WAKENYA

American
pastor TD Jakes, was mourning with Kenyans following Saturday's attack at
Westgate Mall in Nairobi.
The
accomplished Texas bishop, with over 30,000 church members tweeted his message
on Saturday.
@TD
Jakes ✔ @BishopJakes
I
am so saddened to hear of the deaths and woundings of our Kenyan family! Our
prayers are there with you!
HAWA NI BAADHI YA WALOTAJWA KUFA
Subscribe to:
Posts (Atom)




