Tuesday, June 24, 2014

MUNGU NI YEYE YULE




Hii ni moja kati ya zile kesi za kanisa katoliki zilizodumu kwa muda mrefu  kesi ilianza toka mwaka 2007  ambapo serikali ilitishia kulifungia gazeti la kanisa katoliki endapo  lingeendelea kumuita Mungu Allah.

KOMBE LA DUNIA NA MATUKIO


Friday, June 13, 2014

WORLD CUP BRAZIL 2014/ KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014




Brazilian pop singer Cláudia Leitte,JL na Pitbull walifanya show moja kali mno ambapo JL alitupa shida na stress zake nyuma na kurusha mikono juu, akatisha mno na kivazi chake.

Thursday, June 12, 2014

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA HADITHI KWA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI

DSC_0481
Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.

Monday, June 9, 2014

POSHO NI TATIZO KILA PAHALA EH?



Wachezaji wa Cameroon wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kucheza na Ujerumani

NCHI YANGU IINAELEKEA WAPI




Huko Mwanza inasemekana bunduki kwa gunia la mahindi...kuna amani kweli ? silaha kwa chakula?

SHERIA NGOWI BRAND PROUDLY OFFICIAL DESIGNER OF DIAMOND @MTV MAMA

sheria
Diamond

Diamond Platinumz and Wema Sepetu.
Being nominated in an internationally recognized award worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more.
You are really flying our Tanzanian flag globally and yet paved the way for international attention indeed.
Congratulations Diamond Platinumz, you have set a Benchmark. Keep up the good work.
Deogracious Kessy- Head of Marketing
Sheria Ngowi Brand

DUNIANI KUNA MAMBO

Wednesday, June 4, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATETA NA RAIS MPYA WA MALAWI PROF. ARTHUR PETER MUTHARIKA.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na Rais mpya wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya rais mpya wa Malawi kukabidhiwa madaraka leo jijini Brantyre kwenye hoteli Sunbird. Baada ya kukutana viongozi hao walipata fursa ya kuzungumzia masuala la kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili na kukubaliana kuendelea kuwa na mahusiano mema kama nchi zinazoishi ndugu na jirani. Picha kwa Hisani ya Ikulu ya Malawi

MWENGE KITUONI KILICHOJIRI


 Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo

Tuesday, June 3, 2014

NITAPELEKA USHAHIDI ROMA KUHUSU MAISHA YA NYERERE - MUSEVENI




Rais Yoweri Museveni akihutubia waumini waliohudhuria ibada hiyo.

WAANDISHI WA HABARI WAASWA KUSHIRIKIANA NA TMF ILI KUPUNGUZA UTEGEMEZI WA MATANGAZO

DSC_0540
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa mradi wa mafunzo ya bure kwa waandishi wa habari kwenye maeneo matano, sekta ya uchimbaji, unyanyasaji wa kjinsia, kupamba na biashara ya madawa ya kulevya na kuzuia utumiaji wa madawa ya Kulevya kwa waandishi wa habari na utayarishaji na utengenezaji wa vipindi vya luninga na wanawake watangazaji jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. kushoto kwake ni Msaidizi wa Mwakilishi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Idadi ya watu, Dorothy Temu –Usiri na Mkurugenzi wa Mfuko wa vyombo vya habari, Ernest Sungura.

BAADA YA MABASI KUZUIWA KITUO CHA MWENGE

 Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama

ATIIIIIII? ASANTE KIPANYA, PENGINEPOLABDA!


NAPENDA MAVAZI YENU MNOOOOOO!




Wasichana wa Kimasai kutoka kijiji cha Ayamango kata ya Gallapo wilaya ya Babati wakihudhuria mkutano wa hadhara uliokuwa ukihutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipotembelea mkoa wa Manyara hivi karibuni.

Monday, June 2, 2014

DONALD STERLING NAYE AISHITAKI NBA



Donald Sterling amefungua kesi akiwashitaki  NBA, na huku akitaka alipwe fidia ya Dola Bilioni moja. Kwa madai kwamba kuzuiwa kwake kuendelea kuwa mmiliki wa TEAM ni kunyume na katiba ya NBA.. Pia madai mengine aliyoyafungua ni kupinga kulipishwa FINE ya Dola milioni mbili na nusu kwa UBAGUZI..!!

ALIYEHUKUMIWA KIFO! AJIFUNGUA JELA





Mwanamke aliyeasi dini nchini Sudan na kupata adhabu ya kifo amejifungua mtoto mvulana akiwa jela mjini Khartoum kwa mujibu wa wakili wake.
Meriam Yehya Ibrahim Ishag, aliolewa na mwanamume mkristo jambo lililopelekea mwanamke huyo kuhukumiwa kifo mapema mwezi huu baada ya kukataa kusilimu tena.

PETER MUTHARIKA! RAIS MPYA WA MALAWI!




Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA CHI ZA NJE WA UTURUKI.




Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki, Ahmet Dovutoglu, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo, Mei 30, 2014.  Katika mazungumzo yao walisisitiza juu ya ushirikiano katika Nyanja mbalimbali baina nchi hizi mbili .  Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya Kiserikali iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki.

Friday, May 30, 2014

SUMATRA YAFUNGA KITUO CHA DALADALA MWENGE


JITATHMINI,JICHEKECHE KISHA JIONGEZE




Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Msukuma.


CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita Bi. Irene Mwakalinga kujipima na kuona kama anatosha kuwatumikia wananchi wa mji huo badala ya kutumia maamuzi ya ubabe na kuwaburuza katika utekelezaji wa majukumu yake.

MTOTO SHIGELA ALIYEZALIWA NA VVU AAGA DUNIA JIJINI MWANZA

10342004_1886404071498512_8618777191309208307_n
Marehemu Shigela ezni za uhai wake akihojiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania Hoyce Temu.