Kampuni ya Transevents Marketing Ltd kutoka Nchini Tanzania kwa kushirikiana na kampuni la Dutch Amfibious Transport(DAT) linalotengeneza mabasi ambayo kutoka Uholanzi yanauwezo wa kutembea nchi kavu na majini na ambayo itakuwa ni Teknolojia ya kwanza kwa Afrika itakayo anzia Tanzania kuwa na aina hiyo ya mabasi.
athumani khamis balozi
wa usalama barabarani. mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mohammed mpinga. Hawa Bayuni meneja huduma za jamii wa airtel tanzania...... wakizungumza kuhusu
suala zima la usalama barabarani