old friend eh!
Bwana Alberto Lena ameungana tena na rafikiye chui mwenye jina ambalo siwezi kuliweka hapa kutokana na mila na desturi zetu kua ni tusi ama kiungo cha uzazi cha jinsi ya ------- , amabye alikua Shamwari Game Reserve huko Eastern Cape. Lena alimuokoa chui huyo kutoka kwa wawindaji haramu huko Ivory Coast miaka 13 iliyopita.
Kawaida ni kama sheria! Unapokwenda kumtembelea mtu shurti ubebe zawadi! Jamaa alibeba zawadi kwa ajili ya rafikiye! akampa
bila shaka ni tamuuuuuu! au siyo? lakini je unamkumbuka mshkaji wako?mtazame tena basi!
baada ya kula akamtazamaaaaa! je unadhani anamkumbuka? sidhani
aaaagh vipi tena? urafiki umeisha mara? mbona zawadi ulikula?
kiukweli napenda sana wanyama! lakini urafiki na mnyama kama Simba,Chui, Tembo na wengineo mh hapana! wazuri kuwatazama kwa mbali na kutukuza uumbaji ila kwa karibu? labda awe kafa! sorry. kiukweli anaweza kukubadilikia anya time hapo tu mi ndo imani hua inantoka! HAWAFUGIKI!
No comments:
Post a Comment