Monday, February 4, 2013

*TUZO ZA WANAMICHEZ​O BORA WA MWAKA 2013 SASA KUFANYIKA APRIL 27

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Tuzo za Mwanamichezo bora wa TASWA, Haji Manara, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, leo mchana, wakati wakitangaza kuhusu kusogezwa mbele kwa shughuli hiyo ya utaoji tuzo ambapo sasa hafla hiyo itafanyika April 27, 2013, ambapo pia alizungumzia kwa ujumla maandalizi hayo. Katikati ni Katibu Mkuu wa TASWA, Amir Mhando, (kulia) ni Mjumbe wa TASWA, Turo Chambo.

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WASHIRIKI KUFANYA USAFI PAMOJA NA MEYA WA MANISPAA YA ILALA MH. JERRY SLAA, KATIKA ENEO LA FUKWE ZA AGHA KHAN JIJINI DAR ES SALAAM


Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanafanya usafi pamoja na Meya wa Manispaa ya  Ilala Muheshimiwa Jerry Slaa.

Friday, February 1, 2013

BAADHI YA WANANCHI WANANCHI MBEYA WALALAMIKIA MAKAMPUNI YA VINYWAJI BARIDI KUTOJALI AFYA ZAO



Najua unaweza kua huioni vyema! subiri

BREAKING NEWSSSS AJALI MBAYA YATOKEA KAPUNGA ZAIDI YA WATU 30 WAHOFIWA KUFA




AJALI MBAYA IMETOKEA KAPUNGA CHIMARA ZAIDI YA WATU 30 WAHOFIWA KUFA HABARI KAMILI TUTAZIDI KUWAJUZA.

KATA YA KIPAWA KUZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA MAZINGIRA BORA KWA ELIMU BORA



Diwani wa Kata ya Kipawa Manispaa ya Ilala, Bonnah Kaluwa, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu awamu ya pili ya Mradi wa Mazingira Bora kwa Elimu Bora ,utakao zinduliwa kesho katika Kata hiyo. Kushoto ni Meneja wa Mradi huo Regina Ogwai. Mradi huo utafadhiliwa na nchi ya Marekani.

MITEGO ON AIR!!!!!!!!!!!



An X-rated TV prank has left the prime minister of Serbia feeling a little overexposed after he was flashed by a glamorous presenter during an interview.
The country's Socialist party leader Ivica Dačić was midway through a discussion about Balkan politics when the young woman, wearing a particularly short mini dress, uncrossed her legs to reveal she wasn't wearing any underwear.
The YouTube video, a clear copy of the famous scene starring Sharon Stone in the 1992 film Basic Instinct, has already had more than 1.2million hits.

KIZAA ZAA SOKO KUU LA MWANZA: JENEZA LAKUTWA SOKONI


Jeneza likiwa juu ya magunia!