Sasha akiwa na dada yake Malia na Mama yao!
Mtoto mkubwa wa Rais Barak Obama, Malia alisherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwake akiwa ikulu ya Marekani july 4 na muonekano wake kwasasa anaonekana kukua hasa na kama hiyo haitoshi! anaonekana kufanana mno na mama yake kwa vitu vingi.
Malia Obama akiwa ndiye kifungua mimba wa Obama na Michelle alisherehekea birthday yake sambamba na siku ya uhuru wan chi yake Marekani.zawadi ambayo First Lady Michelle ameitaja ni zawadi ya simu ya kiganjani lakini alipewa sharti na mama yake ,kusoma maelezo yahusuyo simu hiyo ili kuielewa na kujua ni simu ya namna gani.
Michelle na Obama walikubaliana kwa pamoja na kuamua Malia mwenye miaka 11, na Sasha mwenye miaka 11, hatatakiwa kuitumia simu hiyo mpaka wafikishe miaka 17! Hiyo wakaitupia katika ukurasa wa facebook, lakini je wataweza.?
Michelle ali tweeted ujumbe maalumu katika twitter kwa motto wake huyo nauweka kama ulivyo!!!!!!! the big day: “Happy Fourth! What makes this day even more special is that it’s the day our first child was born. Happy birthday, Malia! We love you. –mo” habari ndo hiyo!
Michelle na binti yake kwa sasa wanafanana mno kuliko wakati mwingine wowote na urefu wa Malia kwa sasa ni inchi 5’11 sawa na urefu wa mama yake na Michelle anaeleza kua binti yake sasa walau ameamua kujiachia kimavazi na mabadiliko yake yanaonekana wazi kwani hata make up anatupia Malia!
Mama na Mwana, binti kajiachia!
No comments:
Post a Comment