Friday, April 26, 2013

FUNNY JUSTIN BIEBER



FUNNY JUSTIN BIEBER dances to his tour bus in a onesie HQ

BIEBER'S BAD BEHAVIOUR


Raid: While Bieber was performing onstage at the Globe Arena on April 23 (pictured) drugs officers were tearing through his empty tour bus

UJAUZITO MBELE NI FAHARI


Kim kardashian.

Kwetu sisi hapa Tanzania kutokana na mila na desturi huwe kumkuta mwanamke anaanika tumbo ama ujauzito wake nje ,Na hata kama mwanamke huyo akiwa mjamzito akiwa kaolewa, kwake ni aibu watu wakijua? na ukijua ukamwambia we una mimba? atakuchukia na kukununia muda wote wa mimba mpaka mtoto!

MADE IN TANZANIA, HERI YA MUUNGANO WATANZANIA WENZANGU



 Rais Abeid Amani Karume wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Abeid Amani Karume, aliuawa kwa kupigwa risasi katika mazingira na sababu za kutatanisha.

MBEZI YA KIMARA YAINGILIWA!


Ni nadra sana kusikia ama kuona malori yakiibiwa mizigo eneo la mbezi kituo cha zamani, lakini alfajiri ya leo lori hili aina ya fuso lilikumbana na viroba vya pumba za mbao barabarani na hivyo kuanguka,thanx God walokuwemo walinusurika ila mmoja wao ameumia mkono.

Thursday, April 25, 2013

VIPAJI VINGINE?



ENJOY! BUT WE UNA KIPAJI GANI? NA UNAKITUMIAJE? JE UNA FURAHA KUA NACHO?

MKUNA NA MKUNWA



Nani husikia raha zaidi?

"NIMEAMBUKIZA UKIMWI MAELFU YA WATU JIJINI DAR"... JANE WA MWENGE


Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao.

Zaidi ya watu 80 wapoteza maisha kufuatia kuporomoka kwa Jengo huko Bangladesh


                                                Shughuli ya uokoaji ikiendelea.

Vikosi vya uokoaji vimeripoti kuwa watuzaidi ya 80 wamefariki huko Bangladesh nje kidogo ya jiji la Dhaka baada ya jengo la ghorofa 8 kuporomoka leo asubuhi.

WAZIRI SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI BI. DIANNE MELROSE KWA MAZUNGUMZO


Wazii wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchni Tanzania, Diana Melrose, wakati alipofika Ofisini kwa Waziri Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam, Aprili 24, 2013 kwa mazungumzo

Wednesday, April 24, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA FALME ZA KIARABU IKULU DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo . 

Friday, April 19, 2013

Bride abandoned at church as groom is arrested

Bride abandoned at church as groom is arrested

IN DEFENCE OF THE MINI-SKIRT






The portfolio of Minister for Ethics and Integrity in Uganda is not a very interesting one, a kind of poor cousin to the other, ‘bigger’ Ministries. So the Minister does not get to do too much, not that the small budget they have will allow them to do anything. But somehow they have all managed to be extremely loud, and very noticeable.

WABUNGE SITA WA CHADEMA WASIMAMISHWA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA BUNGE KWA SIKU 5


Wabunge sita wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema akiwemo mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamesimamishwa Kushiriki katika shughuli za bunge kwa siku tano baada ya kutokea hali ya sintofahamu bungeni April 17,2013 wakati mkutano wa 11 ukiwa katika kikao chake cha nane ukiendelea,hali iliyomlazimu naibu spika wa bunge Job Ndugai kusitisha shughuli za bunge katika hali isiyo yakawaida

H.BABA MUZIKI NA BIASHARA AZINDUA PIPI ZA JINA LAKE NA TAYARI ZIPO MADUKANI


Mfuko wa pipi wa Hbaba unavyoonekana kwa mbele.

Hukumu ya Sheikh Ponda yaahirishwa hadi Mei 9


Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda (kulia) akiwa na mshitakiwa mwenzake Saleh Mukadam wakielekea kupanda basi la magereza baada ya hukumu ya kesi yao ya uchochezi kuahirishwa hadi Mei 9, 2013.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN, WASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMSWALIA BI KIDUDE MSIKITI WA MWEMBESHAU​RI

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Fatma Baraka 'Bi Kidude', wakati  jeneza hilo lilipo ingizwa Msikiti wa Mwembeshauri, kwa ajili ya kuswaliwa kabla ya kuelekea kijijini kwa marehemu, Kitumba Wilaya ya Kati kwa maziko.

SECRETS LINGERIE


i wanted you to be the 1st to know... Mega 50%OFF SALE at secrets Lingerie Mikocheni starting Saturday April 20th...... For more info call: +255- 714- 717144... cheers!!!

Thursday, April 18, 2013

Fatma Baraka a.k.a Bi Kidude binti Baraka!



JICHUNGUZE! WE WAWAPI?


Huu ni mtazamo tu? au kuna ukweli ndani yake? yawezekana kusoma sijui, lakini hata picha siioni?

Hukumu ya Sheikh Ponda na wenzake leo


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini iliwaona wana kesi ya kujibu katika mashtaka yote matano yanayowakabili. Katika moja ya mashtaka hayo, Sheikh Ponda na wenzake anadaiwa kula njama na wizi wa mali yenye thamani ya Sh59.6 milioni.

MAKAMU WA RAIS DK. BILALI AFUNGUA RASMI MKUTANO WA PAMOJA WA KIMATAIFA WA WATAFITI WANASAYASI AFRIKA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia wadudu wa ugonjwa wa Maralia kwa kwa kutumia Mashine ya Hadubini, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja wa Kimataifa wa Watafiti wanasayansi wa Afrika, alioufungua  Aprili 16, 2013 jijini Arusha.

Wednesday, April 17, 2013

Kumbukumbu ya kutimiza miaka 5 , Marehemu Anthony Njeje


                                              Anthony Njeje

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA UDHIBITI WA HUDUMA ZA KIUCHUMI BARA LA AFRIKA, JIJINI ARUSHA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa kimataiafa wa siku mbili wa Udhibiti wa Huduma za Kiuchumi Bara la Afrika, ulioshirikisha mataifa mbalimbali kutoka Bara la Afrika, ulioanza Aprili 16, 2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha.

Tuesday, April 16, 2013

WAKE WA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI TANZANIA WAWATAKA WANAWAKE WABUNIFU KUIGA MFANO WA ENJIPAI

Mwenyekiti wa kundi la wake wa mabalozi nchini (DSG) Juliana Parroni akifungua mkutano wa wake wa mabalozi nchini "Coffee meeting" uliyofanyika katika ukumbi wa Synergy Grill Oysterbay jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog)

Friday, April 5, 2013

ANGA ACHANA NAYO KABISAAAA! KIBOKO


Huu ni muonekano wa ndani ya ndege! nikiingia huwa naanza kusali kabisaaa! ila inasemekana ndo usafiri makini na salama kuliko mwingine wowote, ila hitilafu ikitokea, hamna rangi utaacha ona!
Angani huwa namshangaa Mungu sana! yaani watu waliamua kutengeneza chombo cha kupaa uende eneo lingine! mwanzoni kwangu ilikua mtihani mkubwa kupaa, but now! uhuuu rahaje?

DINA MARIOS WA CLOUDS FM NI MWANAMKE WA MWAKA 2013!


Mwanamke wa mwaka DINA MARIOS akiwa na PHILLIPO MWIHAVA wote wa CLOUDS MEDIA GROUP! Na ametwaa tuzo ya Tanzania woman of achivement awards_woman of the year!! sasa bwana hapo alikenyua meno kwa mafanikio ya bi Dina na akampongeza! na huo ndo uzalendo!!

Thursday, April 4, 2013

RUKWA: WAJAWAZITO WANG'ATISHWA NGE ILI WAPATE UCHUNGU HARAKA





Wakunga wa jadi mkoani Rukwa, wamekuwa wakitumia nge kusaidia wajawazito waliopitiliza muda wa kujifungua, kupata uchungu na kujifungua salama.Uchunguzi uliofanywa na mwandishi, umebaini kuwa wajawazito wanaokwenda kwa wakunga wa jadi wakiwa na tatizo la kupitiliza muda wa kujifungua, hung’atishwa nge mwilini ili wapate uchungu.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU TATU WA MWAKA KUHUSU TAFITI ZA SERA NA MAENDELEO WA REPOA DAR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa mkutano wakati akifungua ramsi mkutano wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa, ulioanza  April 3, 2013 katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.

Wednesday, April 3, 2013

ZIARA YA WAZIRI MWAKYEMBE NA BALOZI WA JAPAN



Balozi wa Japan nchini Tanzania, Bw. Masaki Okada (kushoto) akifurahia jambo na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(mwenye suti nyeusi) ndani ya Behewa la Treni ya Dar es Salaam ,wakati Balozi huyo alipotembelea Shirika la Reli Tanzania(TRL) na pia kutembelea eneo la reli lililoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.