Friday, May 30, 2014
JITATHMINI,JICHEKECHE KISHA JIONGEZE
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Geita Joseph Msukuma.
|
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita
kimemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita Bi. Irene
Mwakalinga kujipima na kuona kama anatosha kuwatumikia wananchi wa mji huo
badala ya kutumia maamuzi ya ubabe na kuwaburuza katika utekelezaji wa majukumu
yake.
MTOTO SHIGELA ALIYEZALIWA NA VVU AAGA DUNIA JIJINI MWANZA
Thursday, May 29, 2014
SERENA NA VENUS NJE YA FRENCH OPEN
TANZANIA PRAISED IN THE FIGHT AGAINST CHILD ABUSE
OAK Foundation, Program Director, Florence Bruce (second left) speaks to reporters in a news conference during the launch of the report on children exposed to sexual abuse and sexual exploitation findings from three countries, Ethiopia, Nepal and Bulgaria, other are Professor Robbie Gilligan right and second right is International Consultant on Child Protection , Jane Warburton, Right is Coordinator, Tanzania Child Rights Forum Mr. Eric Guga and far left is OAK Foundation Representative Child Abuse Programme, East Africa, Fassil Marriam.
Monday, May 26, 2014
TAARIFA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mkutano wa Tatu wa Mwaka wa
Kitaifa wa Mashauriano Kati ya MCT na Wahariri kufanyika Kilimanjaro
Baraza la Habari
Tanzania (MCT) litafanya mkutano wake wa tatu wa mwaka wa Mashauriano na
Wahariri huko Machame, mkoani Kilimanjaro kuanzia Mei 29 hadi 30 mwaka huu.
Mkutano huo utafunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa
Leonidas Gama.
MH. MOHAMMED G.DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127
Mbunge wa Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na viongozi wa Mahakama ya Qadhi wakati alipotembelea Mahakama hiyo kuona namna inavyohudumia waumini wa Dini ya Kiislamu katika kutatua migogoro ya ndoa.
MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA JIMBO LA SINGIDA MJINI, WAINGIA KWA STAILI YA AINA YAKE
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mh. Mwigulu Nchemba wakiwa kwenye boda boda, wakati wa msafara wa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika eneo la viwanja vya People’s Club mjini Singida.
Tuesday, May 20, 2014
HATIMAYE WASHINDI WA MAISHA PLUS NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 WAPATIKANA NA KUONDOKA NA MILIONI 50.
Bahati Muriga mshindi
wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs.
Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa
kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam.
MAFUNZO YA MAADILI NA KUANDIKA HABARI ZA JINSIA NA MIGOGORO YAFANYIKA MASASI, MKOANI MTWARA
Mkurugenzi wa Fadhila FM Redio, Br. Edwin Mpokasye akiwakaribisha washiriki katika ufunguzi wa warsha ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro kwa waandishi wa habari wa Redio za Jamii iliyofanyika Masasi mkoani Mtwara.
Friday, May 16, 2014
PEOPLE WITH ALBINISM: PILLAY URGES MORE PROTECTION AFTER BARBARIC KILLING IN TANZANIA
UN High Commissioner for Human Rights Navi Pillay.
UN High Commissioner for Human Rights Navi Pillay called Thursday for increased protection for people with albinism, after the barbaric murder of a 40-year-old woman with albinism in north-western Tanzania on 12 May.
Thursday, May 15, 2014
THE GOVERNMENT PLANS TO IMPROVE EMPLOYMENT POLICY
KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO) ATEMBELEA NCHINI TANZANIA
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya umuhimu wa Ziara ya Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO), Bw. Raymond Benjamin (kulia) kwa nchi ya Tanzania. Katibu Mkuu huyo atakuwa nchini Tanzania kwa siku tano ambapo tarehe 16 Mei 2014 atakwenda Zanzibar. Tanzania ni miongoni mwa nchi mbili za Afrika ambazo zimepata bahati ya kutembelewa na Katibu Mkuu huyo.
Tuesday, May 13, 2014
DAR YAZIZIMA KUFUATIA KIFO CHA BALOZI FLOSSIE GOMILE CHIDYAONGA
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili kuhudhuria misa maalum ya kumwombea aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini, Mh Flossie Gomile Chidyaonga kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.
Monday, May 12, 2014
USAFIRI WA MOMBO-KOROGWE KUELEKEA WILAYA YA LUSHOTO WAKWAMA KWA TAKRIBANI SAA SITA.
Jiwe kubwa Likiwa limeanguka toka mlimani na kuziba Barabara ya Vuga Kutoka Mombo kuelekea korogwe na Lushoto
Friday, May 9, 2014
ANDIKENI HABARI ZA KUMKOMBOA MWANANCHI : JAJI BOMANI
BAADA YA UCHOVU WA KAZI::LEO NI AMSHA AMSHA NA SKYLIGHT BAND PALE THAI VILLAGE USIKOSEEEEEEE
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA MGOLOLO (W) MUFINDI, IKULU DAR.
DAVIDO ALALAMIKIA AIRPORT IMMIGRATION.
Msanii maarufu na kipenzi cha wengi nchini Nigeria David Davido Adeleke, ametoa malalamiko yake katika mtandao wa kijamii instagram jana kuwa hakupendezewa na kitendo walichomfanyia idara ya uhamiaji nchini Lagos Nigeria, baada ya kumsababishia kukosa ndege aliotaraji kupanda kuelekea LONDON kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki, inasemekana kuwa chanzo cha maafisa hao kumkwamisha Davido mpaka kumchelewesha kuwahi kupanda ndege yake aliotakiwa kuondoka nayo ilikua ni Rushwa ambayo imewatesa watu wengi na hasa wa airports nchini Nigeria.
WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAPEWA SEMINA
Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.
SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WAMADINI MWANZA.
Thursday, May 8, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)