Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band.
Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo ndani ya Thai village
Maua mazuriiiii ya Skylight band kutoka kushoto ni Aneth kushaba(AK 47) Digna mpera na Winfrida Richard wakiwa wanapata uphoto wenye ISO za kutoshaaa ndani ya Thai Village
Mpiga Drums wa Skylight band akiwa na furaha ya kutosha baada ya kuona mashabiki wake wanafurahia upigaji wake mahiri na wa kusisimua ndani ya Thai Village
Testimon Testimony ehhhhhh ni furaha yakutosha kwa mashabiki hawa wa Skylight Band wanayoipata kutoka kwa Bendi yao ya kijanja na iliyokamilika kila idara.
Mwanamuziki wa Skylight band Sam Masamba akiyarudi mangoma makali yaliyokuwa yakiporomoshwa naye na Wenzie,yani ni raha tupuuu ukiwa unapata ladha tamu za skylight band.
Aiiiiiii Aiiiiiii Aiiiii ni Aneth kushaba akiyarudi mauno mororoooooo kuwapagawisha mashabiki wake ndani ya Thai village
Mpenzi wangu nasema mi sikufanyaaaaaaaaaaaa,hapo aneth kushaba akiimba kibao matata cha kariakooo ndabi yaThai Village
Anaitwa Hashimu Donode akiimba kwa umakini na hisiaa kuwapagawisha wapenzi wa Skylight Band ndani ya Thai Village
Kutoka kushoto ni Winfrida Richard,Hashimu Donode na Digna mpera wakiwa mguu pandeeee sasa kuwapagawisha wapenzi wa Skylight Band ndani ya Thai Village
Wazeeee wa Jsb mpooooo tupooooooooo,wakiyarudi kwa utamuuuuu masebene yanayoporomoshwa kwenye kiota cha Thai Village na Bendi yao ya Skylight.
Mashabiki wa skyligth wakifurahia muziki mzuriiiii toka kwa bendi yao nzuriiiiii ya Skylight band ndani ya Thai Village.
Toka kushoto ni Joniko Flower,Aneth kushaba na mwenzao wakiyarudi mauno kwa umaridadi kabisaaaaaa kuwaburudisha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Gere mama gereeeeeeeee,ni mduara mkaliiiiii na mzuriiiiii ukiporomoshwa na bendi ya Skylight kwa mashabiki wao ndani yaThai Village.
Mratibu akinyoosha mikono juuuuu juuuuu akifeeeel hapyyyyy hapyyyyyyyy ndani ya Thai Village akiwa na mdau wa bendi na shabiki mkubwaaaa wa muziki mzuri wa Skylight Band
No comments:
Post a Comment