Tuesday, May 13, 2014

SHEMEJIII! WHY?







Je ni wivu wa mafanikio? Ama J am mprovoc shemejiii? Na JZ ameonesha ule u gentleman wake, hajamrudishia cause shes a lady , utapigana vipi na Lady? Ila Solange alikua na hasira mno wakati nduguye queen B alikua ametulia tuli kama hayupo!

 Na mwishowe akaondoka na nduguye garini wakati JZ aliondoka kivyake kwa gari tafauti. Swali langu nii mgogoro wa donge la wivu kwa mafanikio ya JAYZ? Ama kufilisika na utumizi wa dawa za kulevya kwa Solange? Nani anajua chanzo anifahamishe wajameni? na mamaako akaweka sms hii kwenye ukurasa wake

No comments:

Post a Comment