Mafundi
wa Kiwanda cha Sukari ya TPC wakifanya ukarabati wa daraja la Kiyungi kwa
kuweka vyuma ili kuwasaidia wanakijiji wa Mijongweni ambao wamekuwa wakipita
kwa taabu kutokana na daraja hilo lililojengwa zaidi ya miaka 50 kuharibika.
Picha na Dionis Nyato
No comments:
Post a Comment