Sunday, July 7, 2013

BAADHI YA WANAWAKE NI WAKATILI MNO!




Sura imeniparama kwa maumivu ya Dora mimi ni mzazi so ilinigusa mnooo! Yatima wanateswa jamani, lakini watu wanasahau kua yatima na wajane ni jicho la Mungu aliye hai, fanya ufanyacho malipo ni hapa hapa ulimwenguni.

LEO RAHA TUU, TWENDEE NZAMBE WA MOYO!

NIMEIPENDA HII CHUKUA




nilikua nakatiza katika barabara ya sam nujoma leo asubuhi nikamwona dada malaika, nikasimama kwa mbelee nikamsimamisha, naye akakubali nikongea naye, ni mcheshi sana.