VIDEO iliyoonyweshwa
mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea
madhara ya taratibu anayoyapata mwanamke aliyeongeza ukubwa wa makalio, kwa
dawa za silkoni imewashtua wanawake wengi waliowahi kutumia aina yoyote ya
madawa hayo.
Taarifa hiyo ilieleza
kuwa madawa hayo badala ya kumfanya mwanamke awe laini, video hiyo inaelezea
namna ukuaji wa haraka wa makalio pamoja na kuathirika huku yakiachwa katika
sura mbaya sehemu za nyuma (chini) baada ya muda mfupi.








