Thursday, May 23, 2013

AJALI YA LORI YA MAFUTA CHANG'OMBE DSM


Lori lililokua likitokea Bandarini kwenda Ubungo likiwa limepinduka baada ya kuigonda daladala hatimaye kupinduka na kuilalia gari nyingine kama inavyoonekana pichani. Tukio hili limetoke barabara ya Chang'omb jijini Dar es Salaam.Ajali hii ilisababisha msongamano mkubwa wa magari na baadhi ya watu walionekana wakichota mafuta yaliyo mwagika.

 Lori likivutwa!

No comments:

Post a Comment