Wednesday, May 29, 2013

TRA WAJA MJENGONI KUJIBU MALALAMIKO YA WATEJA


Richard Kayombo ambaye ni mkurugenzi wa huduma na elimu wa TRA, amewaeleza wazi wafanya biashara yakwamba wiki-wiki mbili zitatolewa kuwasubiri walipe kodi, ikishindikana, watapewa siku 21 wasipolipa kodi basi mizigo yao itataifishwa kisheria.

Naibu kamishna idara ya forodha na ushuru wa bidhaa bwana Patrick Kisaka naye alikuwepo kutia uzito msafara huo.
 Kayombo akijibu maswali ya Gerald Hando , wakati Paul James akiwa amemakinika.



No comments:

Post a Comment