Mnyama akisubiri nje ya studio ambaye pia ni mwanakamati wa mazishi na maziko ya Albert Mangwea.
CLOUDS MEDIA GROUP NA ENTERTAINMENT
MASTER ,PUSH MOBILE WAMESHIRIKIANA KUMLETA NYUMBANI ALBERT MANGWEA.
KATI SUALA
LA KUUSAFIRISHA MWILI WA MSANII NGULI WA
BONGO FLAVA ALBERT MWANGWEA, NA MMOJA WA MWANAKAMATI WA MSIBA HUO SHILOLE
AMEOMBA WATANZANIA WENYE MOYO WA
KUSAIDIA KUSAIDIA KUFANIKISHA MAZISHI NA MAZIKO YA MPENDWA WETU ALBERT MANGWEA.
Khaleed Mohamed a.k.a Shilole msanii wa muziki na muigizaji wa muvie mwanachama wa Bongo Muvie, wakisubiri kuingia studio.
Becha Mkondola akiliweka sawa gitaa lake.
Gitaa la Becha lina mbwembwe! shurti liwe amplified! hii ndo amplifaya aloibeba ili mambo yawe murua na itifaki izingatiwe.
Gerald Hando akiwa na Shilole katika mazungumzo asubuhi ya leo kwenye power breakfast.
Shilole akielezea namna ya kuchangia ili kufanikisha mazishi na maziko ya Albert Mangwea. ni hivi:-
KWA WATUMIAJI WA TIGO KUNA TIGO PESA 0717553905
KWA WATUMIAJI WA MPESA 0754967738
KWA BENKI KUNA NMB ACCOUNT YENYE
JINA LA KENNETHBMWANGWEA-2012505840
Shilole bado haamini kilichotokea
wakati wote yu mawazoni Shilole.
Bi Kajala naye ni mmoja wa wanakamati naye alikuwepo kuleta ratiba ya maziko.
Kajala akisoma ratiba nzima ya mazishi
Mwenyeji wa Kajala wakati huu ni Dina Marios.
Dina Marios pia aliongea na kaka wa marehemu Albert Mangwea, aitwaye Kennethi ambaye amechukizwa na maneno maneno mitandaoni, na kuomba kwa mara ingine tena msiba wa mdogo wake upewe uzito na heshima unaostahili.
Kenneth wakati akitoa tamko hilo, huku mkono wa producer wa Leo Tena akirekebisha mic ili usikivu uwe murua!
WALIOCHANGIA MPAKA SASA NI ENTERTAINMENT MASTERS WAO WAMETOA TENTS,VITI NA SEHEMU YA MSIBA KUKAA,SAMAKI SAMAKI 1.5 M, BONGO RECORDS 5M,PUSH MOBILE 5M
No comments:
Post a Comment