Tuesday, May 28, 2013

SIJUI IMEKUAJE! KAMA TUMEPATANA HIVI!


Kutoka kushoto Yona Joram, Gerald Hando na Babra Hassa, in GREEN.

Mpaka chini, mpaka chini! kufanana kupo! mwanamke mguu babu eh! mwanaume?......... eh!?
Nikiwa na mybrother from another mother! Gerald Hando! cheki alivyoegesha vyema kichwa huku akionesha na peni! kamechisha hadi peni? du! swaaafi, picha katupiga Philip Mwihava a.k.a baba Bieber!
hakyanani siku  ya leo sare sare maua! asiyejua kuchagua, kabila lake mziguaaaaaaaa! KAMA ZAMANIII!

No comments:

Post a Comment