Ray alivyokuwa awali
Ray atakuwa ameungana na Celebs wengine ,Nay wa
mitego,Diamond,Jux na wengineo walioona siyo ishu kuwa na miili iliyokaa kizembe
zembe miili ambayo kwa kiasi flani inapoteza mvuto kwa fans.
Ray akiwa na mkufunzi wa mazoezi
Matokeo yameanza kuonekana, mkono ushaanza kujikata, mwili umelowa good signs Ray
No pain no gain Ray! all the best, wengine nao waige mfano wako kaka.
No comments:
Post a Comment