NAMNUKUU- MZALENDO WA KUJITOLEA
Mzalendo Wa Kujitolea
May u (R.I.P) Ngwear lkn sababu ya kifo chako imenifanya
niwaze:
1. Ni wasanii wangapi wanatumia madawa ya kulevya nchini?
2. Wangapi watakufa na madawa ya kulevya baada ya wewe
kutangulia?
...
3. Nani alikufundisha kutumia hayo madawa?
4. Ulipokuwa nyumbani ulikuwa unanunua wapi?
5. Huko nyumbani ulikuwa unatumia na wasanii wapi na
wangapi?
6. Kwanini ulikuwa unatumia madawa ya kulevya?
7. Kuna haja ya kuanzisha kituo maalum kuwanusuru baadhi ya
wasanii wengine waliobaki ambao bado wanatumia?
8. Na kadhalika na kadhalika sipati majibu.....walimwengu
labda mumsaidie kujibu....
No comments:
Post a Comment