Wednesday, May 15, 2013

ENZI HIZOOO! NA MAKTABA YANGU


Efraimu Kibonde, Asmah Makau nami Regina Mziwanda.



Picha hii ilipigwa miaka miwili iliyopita, nikiwa katika studio za Clouds Tv, wakati wa moja ya matukio ya mjengoni, na hii ndo ilikua timu ya Jahazi mara baada ya kuondoka Jembe Gadnar G. Habash! timu hiyo haikudumu, ikamegeka na hao kina mama wawili, wakaingia wanaume watupu kibarazani!

Nilijifunza mengi sana kutoka kwa my sister Asmah A.K.A Asmahhoney! lakini sana tu kwa mybrother Efraim Samson Kibonde! kiukweli ni mtu wa utani na kwahakika kama siku yako imeharibika atahakikisha inarejea kua njema tena!

Kiukweli nazidi kujifunza mengi kwani naamini katika kujifunza kila iitwapo leo.! asanteni sana wajameni kwa kuniruhusu nijifunze kutoka kwenu!.

No comments:

Post a Comment