Habari za leo! sikua mjini kwa takriban wiki mbili sasa! lakini nimerejea! na ntaanza na kukupa ufahamu kidogo juu ya maziwa ya mama na uhifadhi wake. ingawa wakina mama wengi huwa wanawaacha watoto wao bila maziwa kwa kuogopa kukamua, ama kudhani hayakai na yataharibika na kusababisha watoto wapewe vitu tofauti na maziwa bora ya mama.
No comments:
Post a Comment