Mtu mmoja
amefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika vurugu zilizoibuka mkoani Mtwara
baada ya bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa ambapo pia ofisi za CCM
wilaya ya Mtwara vijijini imeteketezwa moto pamoja na nyumba nyingine nne
ikiwemo nyumba ya mbunge na mwandishi wa habari wa TBC. .
No comments:
Post a Comment