Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua rasmi kongamano la Kimataifa la Serikali za Mitaa la kujadili Mabadiliko ya Tabianchi, kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Thursday, October 31, 2013
MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KUJADILI MTANDAO WA MAJI KWA NCHI WANACHAMA WA SADC LILILOANDALIWA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM Inboxx
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua rasmi kongamano la kujadili Mtandao wa maji kwa Nchi Wanachama wa SADC, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jijini Dar es Salaam.
MKUTANO WA 7 WA SEKTA YA UCHUKUZI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mrs. Monica Mwamunyange
akisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano wa 7 wa
mapitio ya utendaji wa sekta ya Uchukuzi kabla ya kufunga jana jioni. Kushoto
kwa NAibu Katibu Mkuu ni Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhitbi wa Usafiri wa
Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Bw. David Mziray.
Wednesday, October 30, 2013
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MZIZIMA WAHAMASISHWA KUJIUNGA KLABU ZA UMOJA WA MATAIFA
Mgeni rasmi Balozi wa Hispania nchini, Luis Manuel Cuesta Civis akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mzizima umuhimu wa kujiunga na vilabu vya vijana unaoratibiwa na Umoja wa Mataifa katika ngazi za shule za msingi na sekondari wakati wa maadhimisho ya siku ya Umoja wa Mataifa yaliyoandaliwa na shule hiyo.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU, MHASHAM RAYMOND MWANYIKA ILIYOFANYIKA MKOANI NJOMBE
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaongoza baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali kutoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe.
UNESCO CALL FOR STRENGTHENING EDUCATION ON SEXUAL REPRODUCTIVE HEALTH IN AFRICA
Acting UNESCO Country Representative, Abdul Wahab Coulibaly speaks to invited dignitaries during the official launching of the “Young People Today. Time to Act Now” report which highlighted Reproductive Health Services (RHS) to young people in Africa for social well being of the African society across the continent.
Tuesday, October 29, 2013
WAZIRI WA UCHUKUZI AFUNGUA MKUTANO WA 7 WA MAPITIO YA UTENDAJI WA SEKTA YA UCHUKUZI (JTSR 2013) UNAOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA JENGO LA GOLDEN JUBILEE (PSPF BUILDING) ,JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 28-29 OKTOBA 2013
Washiriki wa mkutano wa 7 wa Mapitio ya Utendaji wa sekta ya
Uchukuzi, wakijitambulisha kabla ya mkutano huo wa siku mbili kuanza katika
ukumbi wa mikutano wa Jengo la Jubilee. Mkutano huo wa 7 unawakutanisha wadau mbalimbali wa sekta
ya Uchukuzi kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta na kuzitafutia
ufumbuzi.
Monday, October 28, 2013
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA BUGANDO NA KUZINDUA JENGO LA MATIBABU YA UGONJWA WA SARATANI NA HUDUMA ZA UPASUAJI WA MOYO, MKOANI MWANZA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akishuhudia zoezi la upasuaji wa Moyo alipokuwa akifanyiwa mmoja wa wagonjwa wa Moyo ndani ya Hospitali ya Bugando, baada ya kuzindua Jengo la Matibabu ya Ugonjwa wa saratani na Huduma za Upasuaji wa Moyo, mkoani Mwanza wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Bugando, iliyofanyika leo Hospitalini hapo.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA HIFADHI YA MAZINGIRA WA VIKUNDI VIDOGO VYA UCHAKATAJI MAWESE IGALULA MKOA WA KIGOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia na kusikiliza maelezo kuhusu maandalizi ya jinsi ya kukamua mafuta ya Mawese kutoka kwa Meneja wa mradi wa Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Tanganyika, Seleboni John Mushi, wakati Makamu alipozindua mradi huo jana Igalula, Wilaya ya Uvinza Mkoa wa Kigoma. Dkt. Bilal, alitembelea na kukagua mradi huo unaosimamiwa na Ofisi yake na kujionea jinsi mafuta hayo yanavyopatikana.
UN ACTION DISAPPOINTED DAR
Friday, October 25, 2013
UN TOLD TO TAKE YOUTH ISSUES ON BOARD IN THE FIGHT AGAINST CRIME
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI KIGOMA KUZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI WILAYANI UVINZA .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kigoma
wakati walipokuwa wakimpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma
leo mchana. Makamu amewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kuzindua Kivuko
kipya cha Malagalasi katika
Wilaya ya Uvinza
Thursday, October 24, 2013
AH! UMEME WEEEEE! MASHALLAH!
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 2 NA MAONYESHO YA MAFUTA NA GESI, JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiriki wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Wednesday, October 23, 2013
WILAYA YA BAHI HAINA HOSPITALI
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA BUNGE LA SWITZERLAND IKULU DAR KWA MAZUNGUMZO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Bunge la Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Balozi wa Switzerland nchini, Olivier Chave.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JULIUS NYAISANGA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KINONDONI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika Kitabu cha maombolezo ya Kifo cha aliyewahi kuwa mtangazaji wa Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud, marehemu Julius Nyaisanga, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu. Marehemu Nyaisanya ameagwa leo katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni na alisafirishwa kuelekea Tarime kwa ajili ya maziko. Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
Monday, October 21, 2013
NIMEIPENDA HII-ROCK RESTAURANT MGAHAWA ULIOJENGWA JUU YA MWAMBA BAHARINI VISIWANI ZANZIBAR
MISS ILALA 2013 ATEMBELEA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHAZILI MSIMBAZI CENTRE JIJINI DAR
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Uhazili, Msimbazi centre jijini Dar es Salaam alipotembelea kituo hicho jana na kupata nafasi ya kubadilishana nao mawazo juu ya kupambana na kupunguza umaskini katika jamii zao katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na umaskini duniani (International Day for the Eradication of Poverty).
Friday, October 18, 2013
ANTERI MUSHI KUZIKWA MOSHI LEO
DOUBLETREE HOTEL YAGAWA TAA 200 ZA UMEME NISHATI YA JUA KWA SHULE YA MSINGI DIHIMBA MTWARA
Mkurugenzi wa Kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton ya Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann (kulia) akikabidhi moja ya taa ya Umeme Jua kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Dihimba mkoani Mtwara. Anayeshuhudia tukio hilo ni Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) Mh. Hawa Ghasia (katikati).
68TH UN ANNIVERSARY WEEK KICKS OFF
MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA NYUMBA 851 ZA WATUMISHI WA UMMA ENEO LA BUNJU 'B' WILAYA YA KINONDONO MKOA WA DAR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kutoka (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba, Waziri wa Ujnezi, Dkt. John Pombe Magufuli na (kushoto) kwa Makamu ni Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga na Naibu Katibu Mkuu wa Ujenzi.
Thursday, October 17, 2013
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE WA KIMATAIAFA WA AFRIKA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI, JIJINI ARUSHA
Tuesday, October 15, 2013
AIKATILI ROHO YAKE HUKO MOROGORO
Mtu
Ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining'inia juu ya mti mara
Amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu
huyu kujinyonga hakijafahamika.Kwa mujibu wa askari
aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza
kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo
ukining'inia juu ya mtu .
Monday, October 14, 2013
Sunday, October 13, 2013
PSPF YAKUTANA NA WADAU WAKE KATIKA CHAKULA CHA JIONI, YAELEZA FAIDA ZA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PSPF, Adam Mayingu akitoa taarifa za majukumu, mafanikio, changamoto na mipango ya mfuko kwa wadau wa mfuko huo waliohudhuria kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na PSPF.
MAKAMU WA RAIS ANOGESHA HAFLA YA CHAKULA CHA HISANI, KAMPENI YA SIMAMA KWA AJILI YA AKINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR
Makamu wa Rais, Dkt. Mhammed Gharib Bilal, aliyekuwa mgeni rasmi katika Hafla ya Chakula cha Hisani iliyoandaliwa na AMREF Tanzania kwa kushirikiana na Montage Limited na Benki M, maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa Kampeni ya Simama kwa ajili ya akinamama wa Afrika, akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 25, kutoka Kwa Mwakilishi wa Benki ya NBC, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo ina lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya Kusomesha Kinamama wakunga ili kusaidia kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto, ambapo jumla ya Sh. milioni 719 zilipatikana wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi.
Subscribe to:
Posts (Atom)