Dina Marios akiwa na mdau Michuzijr na Abrahamu
Abrahamu akiwa na mwanawe na mwenye urembo kichwani ni mtoto wa Michuzijr
Watoto walipata fursa ya kuchora nyuso zao kwa picha wazipendazo! binti wa Abrahamu alipenda kipepeo.
Meza hii ilikua maalum kwa watoto kwa rangi rangi, hao wengine wanasubiria zamu yao.
Watoto wanapenda sana midoli. ilikuwepo,
Watoto wakiajabia burudani walowekewa
Mi huita hicho kitanda mtande, watoto wakibarizi wakati wengine wakisubiri nao wale raha
Spiderman akinifanyia vibweka
Dada Dina alinambia hichi kitu kinaitwa trampoline, mtoto ama watoto huruka ruka juu yake raha tupu
Ambwa hii ni treni ya mchangani
Watoto wakiwa ndani ya hiyo treni
Watoto wengine waliamua kuelea
Ilikua ni full kujiachia na uso ng'aring'ari
Akina baba nao wali show love kwa kuwaleta watoto wao kujichanganya na wenzao ambao ni yatima!big up Michuzijr na Abraham
Janet Mwenda akiwa na Dina Marios na mdau wa Dina waki show love n support.
Janet Mwenda muda wote hutabasamu na hapa anafurahia watoto wakicheza na kutifuka mchangani
Mwinda huwindwa!mpiga picha wa blogg ya sherehe yetu naye alikua mzigoni
Producer wa Leo tena bwana Kaneno na mpiga wa blogg ya Dina naye alikuwepo
Jamaa alikua busy kuupiamo picha mtandaoni huku akiwa kaachiwa juice za washkaji wao wakiwa wanajiachia.
Nilikuwepo pia, washkaji walikua hawakamatiki, hata picha kupiga nao ilibidi niwashikilie, maana walikua wanaona nawachelewesha
Swaggar is on baby!
Jana vile vituo vitatu vya kulea watoto yatima
ambavyo dina’scare care ilivichagua kuvisaidia mahitaji mbalimbali japo kwa
asilia kidogo vya sifa group foundation cha bunju b’ zaidia orphan cha sinza na
vetenaly orphan
vilikutana pamoja na wazazi na watoto
wao,wasanii na wadau mbalimbali kula na kucheza pamoja lengo likiwa ni
kuwafanya watoto hao wasijisikie upweke
No comments:
Post a Comment