Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan Rugimbana, akimkabidhi Pikipiki na nyaraka muhimu, Mwenyekiti wa Kamati ya Mji Mpya wa Mabwe Pande, Abdallah Kunja, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo katika mji huo mpya, ambapo Mkuu wa Wilaya, alikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe pande kwa niaba ya Makamu wa Rais
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan Rugimbana, akizungumza na wananchi wa Mji mpya wa Mabwe Pande, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi Pikipiki kwa wananchi wa mji huo mpya, ambapo Mkuu wa Wilaya, alikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe pande kwa niaba ya Makamu wa Rais.
Msaidizi wa Makamu wa Rais wa masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mgeni Feruzi Kayanda, akimkabidhi Pikipiki Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan Rugimbana, aliyeikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe pande kwa niaba ya Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo katika mji huo mpya. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mji Mpya wa Mabwe Pande, Abdallah Kunja.
No comments:
Post a Comment