Mkazi wa Mabibo Khalid Jafari Gomani akikagua Bajaji mpya aliyojishindia kupitia Promosheni ya
Miliki Biashara yako na Tigo ambapo washindi wa wiki ya pili ya wamekabidhiwa
zawadi zao jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo Wiliam
Mpinga.
Evelyn Elisalia Massawe-(22) Mkazi wa Kimara akipokea
funguo za Bajaji mpya aliyojishindia kupitia Promosheni ya Miliki Biashara yako
na tTgo kutoka kwa Meneja Chapa wa Tigo Wiliam Mpinga ambapo washindi wa wiki
ya pili ya Promotion hiyo wamekabidhiwa zawadi
zao jana Jijini Dar es Salaam.
Mkazi wa Makumbusho, Isabela Edwad Msemo akipokea funguo
ya Bajaji akiwa mwenye furaha kutoka kwa Meneja Chapa wa Tigo, Wiliam
Mpinga mara baada ya kujishindia kupitia Promosheni ya Miliki Biashara yako na
Tigo ambapo washindi wa wiki ya pili
wamekabidhiwa zawadi zao jana Jijini Dar es Salaam.
Evelyn Elisalia Massawe (22), Mkazi wa Kimara akishuka
ndani ya bajaji yake aliyokabidhiwa na Tigo
baada ya kujishindia kupitia Promosheni ya Miliki Biashara yako na Tigo,
kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo Wiliam
Mpinga.
No comments:
Post a Comment