Wednesday, August 21, 2013

MARUKUFU KUTUPIAMO KAMA WEWE NI ASKARI UWAPO MZIGONI


 
Wabunge nchini Kenya wamekumbana na upinzani kutoka kwa jamii kuhusiana na suala la kuwazuia askari wa kike wasitupiemo  lipstick, mijihereni mikubwa ama wasisuke rasta ama kuzifuga .
Mapema mwezi huu imefahamika kwamba baadhi ya maofisaa wa polisi nchini humo wametupiwa lawama wanatupiamo mno na wako ki styles  na kuonekana si wabobevu katika taaluma yao na kulishushia hadhi jeshi la polisi nchini Kenya na wabunge hao wakatoa rai kua atakayekamatwa ametupiamo basi achukuliwe hatua za kinidhamu
Lakini wabunge walio katika kamati ya usalama ya taifa hilo walitoa mwongozo unaowa shusha maaskari wanaotupiamo, ijapokua mbunge mmoja Grace Kiptui,akaonyesha mshangao wake kwa kueleza kwamba yeye haoni kwanini maaskari wanawake wazuiliwe kutupiamo watakavyo na hapa alikua akimshangaa mbunge mwenziwe  Ibrahim Abdi Saney na kumweleza kwamba wawaache maafisa hao wapolisi watupie kwa uhuru wote
Lakini ikumbukwe kwamba mnamo mwezi January 2013, jamii ya wanasheria nchini humo ambao walitoa sheria za mavazi na kuzua kusuka minywele itakayo tuna,nguo za kuangaza,sketi fupi na vijishati visivyo na mikono ama magauni ya aina hiyo.
Wakiangalia mataifa ya magharibi wenye kuwasisitizia maaskari wao kua smart na wenye kupaka make up nyepesi na wasojiremba viiiile, basin na maafisa wao waige mfano huo.Polisi nchini Tanzania mupooooooo?

No comments:

Post a Comment