Thursday, August 1, 2013

ZIMBABWE JANA




Rais Robert Mugabe na familia yake.


Msururu wa wapiga kura wakisubiri kutimiza demokrasia yao.
Waziri mkuu wa Zimbabwe  Morgan Tsvangirai, akiwa na mkewe Elizabeth,ambaye inadhaniwa kua ndiye rais ajaye  .
 Wafuasi wa chama cha waziri mkuu Mofgan wa chama cha upinzani cha MDC.
watu wa rika mbalimbali wakikomaa katika foleni isiyo na chenga wote hima mpaka kieleweke
wafuasi wa chama cha ZANUPF kinachomuunga mkono rais Mugabe wakielekea katika vituo vya kupigia kura jana.
Kiongozi mweusi ambaye amekaa madarakani kwa muda wa miaka 33, ambaye ana miaka 89 sasa, na mwenye matarajio ya kushika tena hatamu za uongozi japokua ana mashaka na kutangulia kusema akishindwa ataachia ngazi
wafuasi wa Tsvangirai  wa MDC wenye imani na kiongozi wao kua atashinda uchaguzi huo.
Karatasi ya kupigia kura, yenye sura zote tano wa wagombea urais inavyoonekana.
Wakina mama wenye subra wakisubiri kupiga kura
wazee kama hawa hawakosi kwenye uchaguzi wowote ule na popote duniani, hapa mzee huyu akipata maelekezo ya namna ya kupiga kura.
Rais aliyepita Robert Mugabe akiwa amezunguukwa na waandishi  habari, mara baada ya kupiga kura yake na hapa ndipo alipotoa kauli kua akishindwa ataachia madaraka.
wakati wa ukweli na nguvu ya umma inayotegemewa na wagombea wote watano.

No comments:

Post a Comment