Monday, December 31, 2012
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI PADRI AMBROSE MKENDA ALIYELAZWA MUHIMBILI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padri Ambrose Mkenda, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Zanzibar, leo Desemba 30, 2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa na risasi na watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia nyumbani kwake mjini Zanzibar hivi karibuni. Kulia ni Muuguzi mwangalizi wa mgonjwa huyo, Namsifu Fue.
Friday, December 28, 2012
UNAMJUA LUDA CRIS SIO? ONA AKIWA NA RAHA ZAKE
Thursday, December 27, 2012
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMTEMBELEA MZEE SAID NOOR ABDULKADIR NA KUTEMBELEA KITUO CHA MAFUNZO YA KOMPYUTA CHA CHWAKA, MKOA KUSINI UNGUJA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakimsalimia Mzee Said Noor Abdulkadir, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake, Tunduni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Desemba 23, 2012. Mzee huyo anasumbuliwa na maradhi ya mguu kwa muda wa miaka 13.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZULU KABURI LA HAYATI IDRIS ABDULWAKIL, MAKUNDUCHI, AMTEMEBELEA MZEE ALI KHAMIS ABDALLAH MWASISI WA AFRO SHIRAZ PARTY
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) akiwa mbele ya Kaburi la Rais wa zamani wa Zanzibar Hayati Idris Abdulwakil, wakati alipozuru Kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja juzi. Rais Wakil alifariki dunia mwaka 2001. Dk Bilal alifika eneo hilo juzi katika ziara yake ya kuwatembelea wazee mbali mbali mkoani humo,
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA RASMI KITUO CHA POLISI CHA KIBOJE ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, wakati alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kufungua rasmi Kituo cha Polisi cha Kiboje, kilichpo Mkoa wa Kusini Unguja leo
Padre Ambrose Mkenda Apigwa Risasi Zanzibar
Padre Ambrose Mkenda
Padre anayejulikana kwa jina la Ambrose Mkenda amepigwa
Risasi na Watu wasiofahamika kwenye gate la nyumbani kwake wakati akifunguliwa
gate aingie nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar, ambako ndiko makazi
yake yalipo akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha pekee yake.
Hali yake sio nzuri kwani Risasi aliyopigwa imemdhuru maeneo
ya mdomoni.Waliompiga Risasi Padre huyo inasemekana ni watu waliokuwa kwenye
pikipiki.
Monday, December 24, 2012
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APANIA KUWA BINGWA WA TAIFA
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA NA KUWAJULIA HALI WAZEE WA MKOKOTONI-MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu .
Thursday, December 20, 2012
MTOTO WA DKT. SALMIN, AMIN SALMIN AMKANA 'NDUGU JAMBAZI' KASSIM RAMADHAN JUMA
Amin Salmin
Adai si ndugu yao
na hapaswi kutumia jina la Baba yake
MTOTO wa
pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Zanzibar, Dk. Salmin Amour, Amin
Salmin, ameibuka na kukanusha vikali kuwa 'Ndugu Jambazi' Kassim Ramadhan Juma
(27) aliyeripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kukamatwa kwa ujambazi kuwa
si ndugu yao katika familia.
Wednesday, December 19, 2012
KUTANA NA NUSRA MAGULUKO (28) MWANAMKE JASIRI ANAYEENDESHA BASI LA SHABIBY, DAR-DOM
NUSURA
Dereva Mwanamke wa Basi la la Shabiby, Nusra Maguluko, akizungumza wakati alipoalikwa mbele ya viongozi kutoa ushuhuda kuhusiana na kazi yake ya Udereva wa magari makubwa kama Mwanamke, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Kampuni ya usafirishaji ya DHL, iliyofanyika siku za hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Nusra alialikwa katika hafla hiyo baada ya kuwa ni mmoja kati ya wanawake waliopata tuzo za Usafirishaji kutoka kampuni hiyo ya DHL.
***********************************
HUYU NDIYE MWIZI WA VIFAA VYA MAGARI DAR
Ile kauli ya Waswahili
kuwa Za Mwizi ni Arobaini,ndio ilifikia kwa ndugu huyu aitwae Khasim Ramadhan
Juma ambaye ni kiboko kwa uwizi wa vifaa vya magari ya Watu hapa jijini Dar es
Salaam,zikiwemo Side mirror,power window,taa za magari na vitu vingine
kibao.Mtuhumiwa huyu alidakwa hivi karibuni maeneo ya Mbezi Beach katika hotel
ya Farway,baada ya kumuibia Mdau mmoja wa mkazi wa Dar ambaye aliweza kumkata
kwa kutumia mtandano wa kiteknolojia ya compyuta na kutiwa nguvuni na
wanausalama.
Tuesday, December 18, 2012
Phenomenal Woman Conference Pictures
Hoteli ya kitalii Ikondolelo Lodge iliyoko Kibamba Jijini Dar es salaam , Imeteuliwa kuwa Kambi Rasmi ya warembo Mwaka huu 2012.
Monday, December 17, 2012
RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 192 NA KUFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, Jumamosi Desemba 15, 2012 tayari kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha.
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AWAONGOZA WAUMINI WA KIISLAMU KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1434 HIJRIYYA
SERIKAKALI YABARIKI MAANDALIZI YA FAINALI ZA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013
Friday, December 14, 2012
AIRTEL YA YAIBUKA NA TUZO YA UTENDAJI BORATOKA ASSOCIATIONS OF TANZANIA AWARD 2012
RAIS KIKWETE AKABIDHI NYUMBA MPYA 35 ZA WALIOATHIRIKA NA MILIPUKO YA MABOMU YA GONGO LA MBOTO
Bila kujali mvua kubwa inayonyesha,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba
mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto .katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya
Ilala.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo
serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto
katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya
Ilala.
RAIS KIKWETE LEO AMEZINDUA RASMI MRADI WA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC KIUBADA, TEMEKE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua
kitambaa kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu
zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya
ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Kushoto ni Mama Salma
Kikwete, kulia ni Naibu
Waziri wa Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye,
anayefuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia
Mchechu,
MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDE AWASILI DAR
Watangazaji wa Clouds FM na Clouds TV pichan shoto ni
Millard Ayo na Ben Kinyaiya pichani kulia wakifanya mahojiano mafupi na
Mwanamuziki Koffi Olomide mara baada ya kuwasili usiku huu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA),jijini Dar.Koffi alitanabaisha kuwa yeye amekuja nchini Tanzania
kwa mara nyingine tena kuwaburudisha na kuwaonesha vipaji alivyo navyo sasa
ndani ya kundi lake la Quartier Latin.
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga
akimlaki (mgeni wake) ,Mwanamuziki nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo,Koffi
Olomide mara baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar
usiku.Mwanamuziki huyo machachari awapo jukwaani ameshuka na skwadi lake zima
la Quartier Latin kwa ajili ya
kutumbuiza siku ya jumamosi ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini
Dar na jumapili jijini Mwanza ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba,ambapo kiingilio
kimepangwa kuwa ni shilingi 10,000/= kwa
shilingi 15,000/= getini.
Thursday, December 13, 2012
GOD IS THE GOD OF MIRACLES A MUSLIM MAN KILLED HIS WIFE BECAUSE SHE READ BIBLE
A Muslim man in Egypt killed his wife because she was reading the Bible and then buried her withtheir infant baby and an 8-year old daughter. The girls were buried alive! He then reported to the police that an uncle killed the kids. 15 days later, another family member died.When they went to bury him, they found the 2 little girls under the sand -ALIVE! The country is outraged over the incident, and the man will be executed..The older girl was asked how she had survived and she says:-'A man wearing shiny white clothes, with bleeding wounds in his hands, came every day to feed us.He woke up my mom so she could nurse my sister,' she said. She was interviewed on Egyptian national TV, by availed Muslim woman news anchor.
Wednesday, December 12, 2012
AIRTEL YAANZA SHAMRASHAMRA ZA CHRISTMAS
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (katikati), akizungumza na mmoja wa wateja mashuhuri wa kampuni hiyo, Jaji Joaquine Antoinette De-Mello(kushoto) katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya ya Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Airtel. Irene Madeje.
Kikundi cha kwaya cha Dar Choral Society kikitumbiza katika onyesho maalumu la muziki la Christmas la kwaya hiyo lililoandaliwa na Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam .
RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam .
UONGOZI WA SKYLITE BAND WATOA TAMKO
Skylite Band.
Uongozi wa Skylight Entertainment na Skylight Band, unatoa tamko la kulaani kitendo cha watu wachache waovu wenye tabia ya kuvuruga Amani kwenye sehemu za burudani. Tunapenda kuwahikikishia wapenda burudani wa jiji la Dar es Salaam kuwa tutaendelea kutoa burudani mpya na inayokidhi kiu cha muda mrefu cha wapenda burudani katika fani ya muziki wa live.
RAIS WA ZAMANI WA MADAGASKA MARC RAVALOMANANA AMEKUBALI KURUDI NCHINI KWAKE.
Tuesday, December 11, 2012
KONGAMANO
Are you a
Professional, Entrepreneur and Business woman who wants financial, investment
and Insurance freedom?
Have you
ever wondered why other women have succeeded and not you? ever wondered why other women have succeeded
and not you?
Do you want
to know secrets of successful women?
Do you want
a New You in the New year....
Here's the
secret on how to liberate yourself financially in 2013
This is the
best treat for you this Christmas, come Discover the hidden Wealth in You...
Learn from the
Tanzania’s best Gurus and Icons in Investment, Business, and Entrepreneurs,
Banking and Insurance professionals so that you can make better and wiser
decisions in the coming year and in the future
MIYAYUSHO ALIVYO 'MYAYUSHA' NASSIB NA KUTWAA MKANDA WA UBINGWA WBF
RAIS KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI KWA MWAKA 2012
Baadhi ya
Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri kutunukiwa.
03:- Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la
(I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa sherehe ya kutunuku
Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya
Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt. Mohamed
Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani,
iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha Zote na
Ofisi ya Makamu wa Rais.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la
(I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa
sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini
Dar es Salaam.
Monday, December 10, 2012
Mantra Tanzania supports Utete Tailoring Mart
Friday, December 7, 2012
Ziara ya Naibu Waziri wa Kutembelea Viwanda naKujionea Uchafuzi wa Mazingira
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akionyeshwa Mfumo wa Maji taka ya Kiwanda cha Kutengenezea Madawa na Haed Quality Bi Shemina Peera-Sonji Wakati alipofanya ziaraya Kutembelea Viwanda na Kuangalia Mfumo wa Majitaka kwenye Kiwanda cha Shellys Phoarmaceuticals kilichopo Mikocheni Mijni Dar es Salaam.
PRESIDENT KIKWETE HOSTS DINNER FOR GAVI FORUM MEETING MEMBERS AT STATE HOUSE
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Former First Lady of South Africa Mama Graca Machel as the First Lady of Zambia Mama Satta looks on during a dinner he hosted for members of the 5th Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Partners Forum at the State House in Dar es salaam. Others in the picture are Mr. Dagfinn Hoybraten, Chairman of the GAVI Board and Dr. Seth Berkley, CEO of GAVI.
PHENOMENAL WOMAN DECEMBER CONFERENCE 2012
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA 3 KATI YA 7 TU WAISHIO MEXICO.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu, (wawili kushoto) na
mmoja (kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya
mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania
saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia
watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao.
MWANDISHI KUPIGWA RISASI
Shabani Matutu (30)
Ndugu
wapendwa,
DSM City
Press Club imepata taarifa za kushtusha
kufuatia ya kupigwa
risasi na kujeruhiwa begani kwa mwandishi wa
Tanzania Daima Bwana
Shabani
Matutu (30) ambaye pia ni mwanachama wa Dar City Press Club
(DCPC).
Sambamba na taarifa hizo imeelezwa kuwa mwandishi huyo
amelazwa
katika Taasisi ya mifupa katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili
(MOI). Chanzo hasa cha kupigwa risasi kwa mwandishi huyo
bado
hakijaeleweka kwa DCPC, uongozi wa DCPC unafuatilia.
GLAMOUR AS TURKISH AIRLINES’ 200TH PLANE MAKES MAIDEN FLIGHT TO KIA
The Turkish Airlines B737-900 plane shortly before touching the ground at Kilimanjaro International Airport (KIA). The plane is set to embark on the Istanbul Ataturk – Kilimanjaro – Mombasa route five times a week.
The Turkish Airlines B737-900 plane being welcomed at Kilimanjaro International Airport (KIA) by a water salute as the company launched its maiden flight for the Istanbul Ataturk – Kilimanjaro – Mombasa route.
Subscribe to:
Posts (Atom)