Airtel yazindua promosheni mpya kwaajili ya wateja wake mwisho wa mwaka 2012
Meneja
Uhusiano wa Airtel Jackson Mbando, akizungumzia bidhaa mpya ya ziada ya kuamka milionea.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel
imezindua promosheni mpya ili
kuweza kuwazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa mwisho wa mwaka.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo kwa waandishi wa
habari Meneja wa huduma za ziada wa Airtel Francis Ndikumwami alisema
kwamba "Airtel inakutoa fursa nyingine kwa Tanzania kushiriki na
kushinda zawadi ya fedha taslimu wakati wa msimu huu wa sherehe. Leo
tunazinduzi "AMKA MILIONEA" amabazo jumla ya zawadi za fedha taslimu
zenye thamani ya shilingi milioni 401zitatolewa ndani ya siku 90 tu.
Kutakuwa na washindi wa kila siku, kila wiki, kila mwezi na zawadi
kubwa moja itatolewa mwisho wa promosheni, katika promosheni hii
wateja wa Airtel 875 watazawadia hizo milioni 401.
AMKA MILIONEA itakuwa na washindi wa aina tofauti tofauti . Washindi
wa kila siku, kila wiki na kila mwezi, AMKA MILIONEA itahakikisha kila
siku kunawashindi 10 kushinda kila siku na watagawana jumla ya
shilingi 3,000.000, kila wiki jumla ya shilingi milioni 6,000,000
zitashindaniwa na washindi 10 na kila mwisho wa mwezi mshindi mmoja
atashinda kitita cha shilingi milioni 30 wakati milioni 50, 0000Tshs
itaenda kwa mshindi mmoja mwisho wa promosheni hii.
Akizungumza jinsi ya kujiunga na promosheni hiyo Meneja Uhusiano wa
Airtel Jackson Mmbando alisema, Ili mteja aweze kushiriki inabidi
atume neno WIN/SHINDA kwenda namba 15595 bure na utakuwa
ujiungajiunga, Baada kujiunga mteja atakuwa atapata ujumbe kutoka
15656 na kupata maswali ambayo atajibu na akipata sahihi atapata ponti
20 akikosea atapata ponti 10. Na kwakila ujumbe atakaotuma atatozwa
kiasi cha shilingi 350 pamoja na kodi.
Amka milionea imeanza leo Desemba 3, 2012 itaenda hadi Machi 2, 2013
Vigezo Muhimu
Mshiriki mmoja hawezi kushinda zaidi ya 1 ya kwa zawad ya kila siku .
Mshiriki mmoja hawezi kushinda zaidi ya 1 yakwa zawadi ya kila wiki
Mshiriki mmoja hawezi kushinda zaidi ya 1 zawadi ya kila mwezi.
Mshiriki mmoja unaweza kushinda mara moja zawadi ya kila siku, mara
moja zawadi ya kila wiki na mara 1 zawadi ya kila mwezi. Lakini pia
anaweza akajishindia zawadi kubwa ya mwisho wa promosheni
Kujiunga
Tuma neno "WIN / Shinda", kwenda namba 15595 ( bure), na kisha
utapokea ujumbe wa ukaribisho utakaombatana na maswali utakayojibu.
Kila jibu sahihi mteja atapata pointi/alama 20 na akikosea atapata
pointi 10 zitakazomuwezesha kushinda, ukijibu maswali mengi
unajiongezea nafasi ya ushindi.

No comments:
Post a Comment