Ni msimu wa sikukuu na tuzo! HONGERA AIRTEL
Airtel
waibuka kidedea na tuzo ya utendaji bora (performance management)
Mkurugenzi
wa rasilimali watu wa airtelbw, patrick foya akiwa ameshikilia cheti na tuzo
hiyo ya utendaji bora waliojishindia jana na kukabidhiwa na mh rais dkt, jakaya
mrisho kikwete
tuzo
ya kwanza kulia ndio ya utendaji bora (performance management) iliyoongezeka
katika diplay/kitunza tuzo cha airtel makao makuu leo.
tuzo
hizi zimeandaliwa na assocition of tanzania employers (ate) na kukabidhiwa kwa
washindi na mheshimiwa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania dkt, jakaya
mrisho kikwete
shukrani
toka airtel
airtel
tanzania inachukua fulsa hii kuwashukuru watanzania wote wanaoendelea kufurahia
huduma bora kutoka airtel, tuzo hii ya utendaji bora ya 2012 ni kwaajili
yetu sote, hivyo endelea ku-enjoy uhuru wa kuongea ukiwa airtel.
bado
tunasisitiza kuwa airtel itaendelea na mpango wake wa kutoa mawasiliano nafuu
na yenye uhakika zaidi mwaka ujao wa 2013.
No comments:
Post a Comment