Tuesday, December 18, 2012

Phenomenal Woman Conference Pictures



Emilian Busara, Mtaalam wa Masoko ya Hisa, Hisa na Uwekezaji akitoa Mada katika Kongamano la Pili la Phenomenal Woman.
Rose Temu, Mkurugenzi wa Power Foods na Mfanyabiashara maarufi akihamasisha wanawake kuingia katika biashara, katika Kongamano la Pili la Phenomenal Woman.
Ruth Makombe, Head Retail and SMS Marketing, Banc ABC akionesha kadi za Debit kwa wafanya biashara na Lilian Bulengo Mtaalam wa mambo ya mabenki, Mkutano wa Poli Phenomenal Woman.
Rose Jairo Chambe, Akiongelea jinsi ya kufanya kazi kwa uwiana.
Wadau wa mkutano.

No comments:

Post a Comment