Camfed inajieleza na kwa hakika wamefanikiwa. wameweza na mabadiliko yanaanzia kwangu mimi na wewe.
Sehemu ya mabinti walo nufaika na mpango wa CAMFED, mcheki mdada mwenye sweta ya blue anavyokula chabo hahahha lol.
Huu ni upande wa pili wa kituo kikuu cha mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro, kikiwa kimezunguukwa na milima ya uluguru.
Ikumbukwe kwamba December 31 mwaka huu mitambo ya analog itazimwa na kuwashwa ya digital kiulimwengu! kama huna decoder umekwisha! mambo ya binadamu haya, samahani lakini!
Morogoro pia ina bustani za kutosha zenye kijani cha haja! big up mkoa wa ghala la Taifa la Chakula!
Mandhari katika hoteli ya Morogoro almaarufu kama MOROGORO HOTEL inavutia mno mazingira yakitunzwa kimpangilio.
Ukiishi kwenye uoto wa asili kama huu ama hata karibu nao! kwahakika hutakua na stress a.k.a msongo wa mawazo.
Haya ni matunda ya CAMFED
Nimependa tu hii picha na zaidi pindi mawingu yanapoangukia milima ya Uluguru, kiukweli hua nababaika kabisa.
Milima hiyo hua haifichiki, huchomoza hata katika vilele vya miti! Na katika milima hiyo hutoka maji safi na salama ya kunywa na baridii ambayo hutiririka hadi kwa watu, Mungu kaumba! ASANTE MUNGU.
Kwa mwaka
huu Shule 193 tayari zimepata vitabu katika wilaya zote 10 ambazo Camfed inafanya ufadhili kwa watoto ambao wazazi wao
hawana uwezo wa kuwasomesha, wilaya ambazo camfed inafadhili ni wilaya ya PANGANI, HANDENI, BAGAMOYO. RUFIJI, KIBAHA, IRINGA, KILOLO.KILOSA, KILOMBERO na
wilaya za Morogoro. Ambapo jumla ya vitabu 33,662 vimegawiwa kwa mwaka huu
vyenye jumla ya zaidi ya milioni 343.
No comments:
Post a Comment