Padre Ambrose Mkenda
Padre anayejulikana kwa jina la Ambrose Mkenda amepigwa
Risasi na Watu wasiofahamika kwenye gate la nyumbani kwake wakati akifunguliwa
gate aingie nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar, ambako ndiko makazi
yake yalipo akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha pekee yake.
Hali yake sio nzuri kwani Risasi aliyopigwa imemdhuru maeneo
ya mdomoni.Waliompiga Risasi Padre huyo inasemekana ni watu waliokuwa kwenye
pikipiki.
No comments:
Post a Comment