Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu, (wawili kushoto) na
mmoja (kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya
mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania
saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia
watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe
Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu
(wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao
na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment