VIONGOZI WA BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA) WAKIWA KATIKA MKUTANO WA MAANDALIZI YA FAINALI ZA TAIFA ZA MISS UTALII TANZANIA NA BODI YA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013 ZITAKAZO FANYIKA HIVI KARIBUNI.
BODI YA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA KATIKA KIKAO CHA PAMOJA NA VIONGOZI WA BARAZA LA UTAMADUNI TANZANIA (BASATA) WAKIENDELEA NA KIKAO.
WAJUMBE WA BODI YA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA BARAZA LA SANAA TAIFA (BASATA) BAADA YA KIKAO CHA MAANDALIZI YA FAINALI HIZO ZA MISS UTALII 2012/2013.
No comments:
Post a Comment