Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akionyeshwa Mfumo wa Maji taka ya Kiwanda cha Kutengenezea Madawa na Haed Quality Bi Shemina Peera-Sonji Wakati alipofanya ziaraya Kutembelea Viwanda na Kuangalia Mfumo wa Majitaka kwenye Kiwanda cha Shellys Phoarmaceuticals kilichopo Mikocheni Mijni Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akipata Maelezo kuhusu Mfumo wa Majitaka kwa Inchaji wa Kuchuja Maji Machafu yanayotaka Kiwandani Bw Paliriki Mapunda wakatialipofanya Ziara ya kukagua uchafuzi wa Mazingira kwenye kiwanda cha Madawa cha Shellys Phoarmaceuticals Kilichopo Mikocheni Miji Dar es Salaam.
Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akitaa Maelekezo Kuhusu Uharibifu wa Mazingira Katika Kiwanda cha Kutengenezea Madawa cha Shellys Phoarmaceuticils huko Mikocheni Mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment