Tuesday, December 11, 2012

RAIS KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI KWA MWAKA 2012




Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri kutunukiwa.
03:- Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.



Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt. Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Ludovic Uttoh, mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali akitunukiwa nishani.

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (ii), Ruth Rashid- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Bi Fatma Baraka Khamis (Bi Kidude)-BASADA, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Bi Kidude, akiwa katika pozi baada ya kuvishwa Nishani yake na Rais Kikwete, huku akiimba wimbo wake wa Laiti, kwa pozi.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Muhidin Mwalimu Gurumo-Habari,Utamaduni na Michezo, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utunzaji Mazingira daraja la (I) Bw. Reginald Abraham Mengi_Kamati ya Nishani, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Bw. Mengi akifurahia Nishani yake na kupozi kwa picha na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kutunukiwa
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Ushupavu, P.8183 Maj M.A Hassan-Mkoa wa Kigoma, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
 Kikundi cha burudani pamoja na viongozi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar jana usiku.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Inspekta General, Said Mwema na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali, wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar jana usiku.

No comments:

Post a Comment