uMEMUONA DEMU WA LUDA? WENGINE HAWAMFAHAMU, PATA NAFASI YA KUFUATILIA WANAVYOJIACHIA! KIUKWELI MI NAMZIMIA!
Tembo huwa hashindwi na mkonga wake! na hapa Luda ameitumia vyema misuli yake!
Mikono ilikua haiwezi kuondoka kwa kila mmoja wao!
huyu mdada yuko vizuri na anajua namna ya kumshika masikio Luda kwa kutumia assets zake!
Ni maji mbele ya maji, yuko ndani ya swimming pool ufukweni! mtoto akijiachia! anaitwa Eudoxie, ana miaka 25 kutoka Africa Gabon! walikua wakijiachia na boyfriend wake wakati huu wa msimu wa sikukuu huku wakiota na kijua kidooogo!
Wakati mamito akijiachia Rapper Ludacris naye alikua anacheza Volleboll na wenyeji wa Maui ,Hawaii!
Kula raha ikuzoee mama! na Luda akijiachia atake nini tena?
Luda akijifanya ana screeem! na mamsap ana`mtazama kimahabaje?
No comments:
Post a Comment