Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia kumbeba mtoto, Rajab Abdulhamid Rajab (meizi 8), wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo katika Kijiji cha Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Haji Machanu Ngwali, Mkazi wa Mbalungini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakitoka ndani kwa Haji Machanu, Mbalungini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki kuomba dua na Mzee Juma Muhidin Mohamed, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipomtembelea kumjulia hali wakati akiwa katika ziara yake ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa miguu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mzee Maalim, Sheha Haji Machame, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuuma kwa miguu.
No comments:
Post a Comment