Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (kushoto) akitoa vifaa vya sshule kwa watoto yatima wa kituo cha ‘Blue Hope’ kilichopo Mabibo, jijini Dar es Salaam wakati benki hiyo ilipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa kituo cha yatima cha ‘Blue Hope’The Exim kilichopo Mabibo, Jijini Dar es Salaam wakati benki hiyo ilipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (kulia)akisalimiana na James Micheal Mdota(kushoto) mmoja wa watoto wanaelelewa na kituo cha yatima cha ‘Blue Hope’ kilichopo Mabibo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wanaelelewa na kituo cha ‘Blue Hope’ kilichopo Mabibo, jijini Dar es Salaam wakati benki hiyo ilipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.Wapili kutoka kulia na Meneja Masoko Msaidizi wa Benki hiyo Anita Goshashy.
Meneja Masoko Msaidizi wa Benk ya Exim Anita Goshashy akijumuika pamoja na watoto kwenye kituo cha yatima cha ‘Blue Hope’ kilichopo Mabibo, Jijini Dar es Salaam wakati benki yake ilipotembelea kituo hicho cha BLUE HOPE.
Baadhi wa wafanyakazi wa Benki ya Exim (Tawi la Namanga) wakisikiliza hotuja ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (hayupo pichani) wakati benki hiyo ilipotembelea kituo cha yatima Blue Hope kilichopo Mabibo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment