Ile kauli ya Waswahili
kuwa Za Mwizi ni Arobaini,ndio ilifikia kwa ndugu huyu aitwae Khasim Ramadhan
Juma ambaye ni kiboko kwa uwizi wa vifaa vya magari ya Watu hapa jijini Dar es
Salaam,zikiwemo Side mirror,power window,taa za magari na vitu vingine
kibao.Mtuhumiwa huyu alidakwa hivi karibuni maeneo ya Mbezi Beach katika hotel
ya Farway,baada ya kumuibia Mdau mmoja wa mkazi wa Dar ambaye aliweza kumkata
kwa kutumia mtandano wa kiteknolojia ya compyuta na kutiwa nguvuni na
wanausalama.
No comments:
Post a Comment